Tuesday, October 29, 2024

MITIHANI MEMA KWA WANAFUNZI WOTE WA DARASA LA NNE 2024 KWA SKULI ZA ZANZIBAR




RUSHDI ACADEMY SCHOOL inawatakia wanafunzi wote wa darasa la nne wa Skuli za Zanzibar kila la kheri katika mitihani yao inayoanza Oktoba 30, 2024 hadi November 1, 2024. Tunamuomba Allah awajaalie kila la kheri, Amina

 

Tuesday, October 15, 2024

Uandikishaji wa Wanafunzi Wapya 2024/2025

 





RUSHDI ACADEMY SCHOOL inawatangazia wanajamii wote kuwa imeanza uandikishaji wa wanafunzi wapya kwa mwaka wa masomo 2024/2025. Nafasi zipo kwa wanafunzi wapya kwa ngazi Maandalizi (KG1), Msingi (Primary 1) na Sekondari (Form 1). Aidha, zipo nafasi kwa wanafunzi wanaohamia kwa madarasa ya KG2, Primary 2, 5 & 6 (wanafunzi wanaohamia kwa Primary 3, 4 & 7 sharti wafaulu mtihani wa usaili utakaosimamiwa na skuli). Ada zetu ni nafuu na unalipa kidogo kidogo. Fomu za kujiunga zinapatikana skuli au piga simu au tuma sms +255716959602 au whatsApp +255622959602. Nyote Mnakaribishwa. Wahi Mapema!

Monday, October 14, 2024

MITIHANI MEMA KWA WANAFUNZI WOTE WA DARASA LA SABA 2024 KWA SKULI ZA ZANZIBAR

 


RUSHDI ACADEMY SCHOOL inawatakia wanafunzi wa Darasa la Saba 2024 wa Skuli za Zanzibar kila la kheri katika mitihani yao ya kumalizia Elimu ya Msingi inayoanza Oktoba 15, 2024 hadi Oktoba 18, 2024. MITIHANI MEMA. AAMMIYNA

RUSHDI ACADEMY SCHOOL OPENS ADMISSION FOR 2026 ACADEMIC YEAR

Rushdi Academy School invites you to join us for Nursery, Primary and Secondary education for the academic year 2026 . We offer  1. Baby Cla...