RUSHDI ACADEMY SCHOOL inawatakia wanafunzi wote wa darasa la saba, darasa la nne, darasa la kumi, darasa la tatu na darasa la kumi na mbili, 2025 wa Skuli za Zanzibar kila la kheri katika mitihani yao ya Taifa. Tunamuomba Allah awajaalie kila la kheri, Amina


No comments:
Post a Comment